Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa ni nguzo muhimu sana. Hata hivyo, kwa Bw. Peter, suala hili lilikuwa ni chanzo cha msongo wa mawazo na aibu kubwa. Kwa muda mrefu, Peter alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kuwa na maumbile madogo (maarufu kama ‘kibamia’) na kushindwa kuhimili tendo kwa muda mrefu (nguvu za kiume).
Mkewe Peter, ambaye mwanzoni alikuwa mvumilivu, alianza kuonyesha dalili za kuchoshwa. Mara nyingi alimsimanga mumewe kwa mafumbo, na hata kufikia hatua ya kumwambia rafiki zake kuhusu “udhaifu” wa mumewe. Jambo hili lilimuumiza sana Peter kisaikolojia. Alijaribu kutumia dawa mbalimbali za kizungu na virutubisho alivyoviona mitandaoni, lakini hakuna kilichosaidia. Ndoa yake ilikuwa hatarini kuvunjika, na Peter alihisi amepoteza heshima yake kama mwanaume.…CONTINUE READING